Vijana chipukizi wa Oranje Football Academy wanaendelea na mazoezi kama kawaida kwaajili ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi utakaoanza mapema mwakani.
vijana wote wanaendelea vizuri na mazoezi na wako na ari kubwa ya kuonyesha uwezo na vipaji vyao vya kusakata soka.
..............................................................................................................................................................................
Executive Board begins with a focus on the new UNICEF Strategic Plan,
2018–2021
-
NEW YORK, United States of America, 7 February 2018 – The UNICEF Executive
Board opened its first regular session yesterday, welcoming its new
President fo...
6 years ago