WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 12 June 2010

HAKUTAKUWA NA MECHI ZA LIGI KWA O.FA WIKI HII

Mechi za ligi za vijana wote wa Oranje Football Academy zimemalika katika hatua ya pili ya makundi ambapo U/17 wamefanikiwa kusonga mbele katika hatua ya fainali ambazo zitaanza wiki ijayo,kwa upande wa U/14 wameyaaga mashindano hayo ya ligi ya msimu huu lakini ikiwa imebakiwa na kombe la mtoano ambapo wapo katika hatua ya nusu fainali.

wiki hii kutakuwa na mechi ya kujipima nguvu pale vijana wa U/14 watakapowafunza soka kaka zao wa U/17 ambapo pambano hilo litakuwa na ushindani na utaalam wa hali juu kutokana na vijana wote kujua mbunu za mwenzake.

mazoezi yataendelea kama kawaida jumatatu kwa kujiandaa na mapambano mengine ya ligi na kombe la mtoano kwa timu zote mbili ambazo zimeanikiwa kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali.
...................................................................................................................................................