WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 13 June 2010

SLOVENIË 1-0 ALGERIA

...........................................................................................................................................................
.............................................................................................................................................................
........................................................................................................................................................
..............................................................................................................................................................
..............................................................................................................................................................
...........................................................................................................................................................
...........................................................................................................................................................
................................................................................................................................................
Slovenia imeweza kushinda mechi yao ya mwanzo ya katika historia ya nchi hio katika kombe la dunia baada ya kuifunga algeria 1-0 huku algeria ikiwa na upungufu wa mchezaji mchezaji 1 baada ya mchezaji wao Bugheira kuonyesha kadi nyukundu katika dakika ya 72 baada ya kuugusa mpira kwa mkono alipokuwa akijaribu kufunga bao ikiwa ni dakika 15 tu tokea aingie kiwanjani,alipewa kadi ya njano ambayo ilikuwa ni ya pili baada ya kuwa na kadi ya njano ya kwanza aliyopewa sekunde chache tu tokea aingie kiwanjani baada ya kumvuta shati marko suler wa slovenia.

slevenia iliandika bao la ushindi na la pekee katika mechi hio na kuifanya ipande katika uongozi wa kundi c kwa bao lililofungwa na captain wao robert koren baada ya kpiga shuti ya mbali ambayo kipa wa algeria chaouchi baada ya kupangua mpira huo alijaribu kudaka na kumshinda kuutia mikononi na kufanya mpira huo kutinga wavuni na kuifanya slovenia kuibuka na ushindi muhimu katika group yao.
..............................................................................................................................................................