WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 12 June 2010

SOUTH KOREA TIMU YA KWANZA KUSHINDA

.........................................................................................................................................
.....................................................................................................................................................................
.....................................................................................................................................................
kaptain wa south korea park akishangilia bao la pili mara baada ya kufunga bao hilo
.............................................................................................................................
South Korea imekuwa ni nchi ya kwanza kuibuka na ushindi katika mashindano ya kombe la dunia 2010 yaliyoanza jana nchini south africa.

korea ya kusini imeweza kuibuka na ushindi huo baada ya kuifunga Greece jumla ya mabo 2-0.
bao la kwanza la korea lilifungwa na jung-soo lee katika dakika ya 7 ya kipindi cha kwanza.

ikicheza vizuri zaidi ya greece katika mechi hio ya leo south korea waliweza kupachika bao la pili katika dakika ya 53 bao lililopachikwa wavuni na captain wao ji sung park baada ya kuwatoka mabeki wa greece kwa kasi na kupachika bao hilo baada ya kipa wa greece kujaribu kumfata park kuzuwia hatari hio lakini hakuweza kufanikiwa kuzuwia mchomo huo wa park hivyo kupelekea bao la ushindi kwa korea na kuwafanya kuongoza kundi lao hadi sasa,

mechi nyingine ya kundi hilo itachezwa baadae kati ya argentine na nigeria.
.............................................................................................................................................................