WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 27 February 2011

ORANJE FOOTBALL ACADEMY 0-0 VIKO PHARM

Oranje Football Academy jana jioni walitoka sare ya bila kufungana na timu ngumu ya Viko Pharm katika pambano la kuvutia la kirafiki lililofanyika katika uwanja wa Mao Tse tung .
Katika pambano hilo lililokuwa kali O.F.A ilipoteza nafasi kadhaa za kufunga huku Viko Pharm wanaocheza ligi ya daraja pili taifa wakipata wakati mgumu kuwakabili vijana O.F.A ambapo pia walipoteza nafasi za kuweza kufunga hadi mwisho wa pambano hilo matokeo yalikuwa 0-0.

Leo ni mapumziko na kesho vijana wa O.F.A wataendelea na mazoezi kama kawaida.
.....................................................................................................................