Kocha Abdulghany Msoma akimkabidhi zawadi ya mchezaji bora wa mwaka wa oranje football academy mchezaji Mzee Kheri Muhammed,amekabidhiwa cheti na medali ya Dhahabu,kocha msoma ambae ni mlezi wa kituo hicho cha kukuza soka kwa vijana nchini alimkabidhi mwanasoka huyo nyota katika sherehe zilifanyika Nungwi kwenye kiwanja cha Sharp Boys siku ya Jumaamosi 5.11.011............................................................................................................................................
MATUKIO MENGINE YA O.F.A YA KUSHEREHEKEA UBINGWA WA ZNZ U20



