WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday 13 January 2012

GHANA YATANGAZA WAKALI WAKE

Ghana imetangaza kikosi chao kitakachokuwa tayari kutoa upinzani mkubwa katika mashindano ya soka barani Africa yatakayaofanyika nchini Equetorial Guinea na Gabon mwishoni ni mwezi huu, kikosi hicho ambacho kinachoundwa na vijana wakali na wenye uwelewano mkubwa wakiwa uwanjani ni kama ifuatavyo:

Goalkeepers:
Adam Kwarasey (Stromsgodset, Norway), Daniel Adjei (Liberty Professionals, Ghana), Ernest Sowah (Berekum Chelsea, Ghana)

Defenders:
Samuel Inkoom (Dnipro, Ukraine), John Paintsil (Leicester City, England), Daniel Opare (Standard Liege, Belgium), Masawudu Alhassan (Genoa, Italy), Lee Addy (Dalian Aerbim, China), John Boye (Rennes, France), John Mensah (Lyon, France), Jonathan Mensah (Evian, France), Isaac Vorsah (Hoffenheim, Germany)

Midfielders:
Charles Takyi (St Pauli, Germany), Emmanuel Agyemang Badu (Udinese ,Italy), Derek Boateng (Dnipro, Ukraine), Anthony Annan (Vitesse Arnhem, Netherlands), Mohammed Abu (Stromsgodset, Norway), Kwadwo Asamoah (Udinese, Italy), Sulley Muntari (Inter Milan, Italy), Andre Ayew (Marseille, France)

Strikers:
Prince Tagoe (Bursaspor, Turkey), Asamoah Gyan (Al Ain, UAE), Jordan Ayew (Marseille, France)