Mabingwa wa soka wa Zanzibar U20 leo katika uwanja wa Mao Tse Tung wametoka sare ya bao 1-1 dhidi ya timu ya Mwambao katika pambano lililochezwa saa 4 asubuhi.
Katika pambano hilo lililokuwa na ushindani mkubwa bao la Oranje Football Academy lilifungwa na Yussuf Abdalla na kuifanya O.F.A kuendelea kuongoza ligi ya vijana kanda ya Unguja.
Wiki ijayo O.F.A atajitupa tena uwanjani katika ligi hiyo kupambana na Al Hapa pambano litakalofanyika katika kiwanja cha Unguja Ukuu saa 4 asubuhi.
Executive Board begins with a focus on the new UNICEF Strategic Plan,
2018–2021
-
NEW YORK, United States of America, 7 February 2018 – The UNICEF Executive
Board opened its first regular session yesterday, welcoming its new
President fo...
7 years ago