WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 3 May 2012

REAL MADRID MABINGWA LA LIGA SPAIN


Jose Mourinho amedhihirisha usemi wake kuwa mara zote timu yake yoyote anayofundisha inakuwa kali zaidi mwaka wa pili baada ya kuanza kutoa matunda kwa timu ya Real Madrid iliyokuwa ikisota na kusubiri ubingwa huo baada ya miaka 4 sasa.huo ni ubingwa wa 4 kwa Maurinho katika nchi tofauti.

Katika pambano lao dhidi ya Athletico Bilbao katika uwanja wa San Mam├ęs mabingwa hao wapya wa Spain Real Madrid ileweza kujipatia mabao yao kupitia kwa Iguain,Ozil na Ronaldo hivyo kutosha kuandika ubingwa wa 32 kwa timu hio ya Madrid.