WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 10 June 2012

Zanzibar yafungwa nusu fainali kombe dogo la dunia

Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes leo usiku imeonja chungu ya mashindano ya VIVA 2012 baada ya kufungwa na timu ya Northern Cyprus kwa goli mbili kwa bila katika mchezo wa kwanza wa Nusu fainali uliofanyika Uwanja Duhok huko Kurdistan.

Timu ya Zanzibar ambayo ilitabiriwa kufika fainali na kulitwaa kombe la dunia la nchi zisizo wanachama wa FIFA ilionesha kiwango cha chini katika mchezo huo ambapo ilijikuta ikifungwa magoli ya kushtukiza kutoka kwa Northern Cyprus ambayo imeingia Fainali na kucheza na wenyeji Kurdistan ambao nao waliwatoa Provence kwa magoli 2-1.

Zanzibar inatarajiwa kuingia tena dimbani tarehe 09/06/12 katika mechi ya kutafuta mshindi wa tatu watakapopambana na Provence.