WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 1 June 2013

O.F.A U17 WAINYANYASA NEW ZNZ AKADEMY


KIKOSI CHA VIJANA WA KITUO CHA ORANGE FOOTBALL ACADEMY LEO KIMENDELEZA KIPIGO CHA GOLI 3 - 0 BAADA YA KUFUNGA TIMU YA NEW ZNZ ACADEMY, MAGOLI YOTE YAKIFUNGWA NA MCHEZAJI HATARI FAHMI AGOGO KATIKA DAKIKA YA 5 KIPINDI CHA KWANZA, DAKIKA YA 56 KIPINDI CHA PILI NA DAKIKA 63.
NA BAADAE KUJIKUTA AKITOLEWA NJE NA MUAMUZI KUTOKA NA KUMCHEZEA RAFU MCHEZAJI WA TIMU YA NEW ZNZ ACADEMY.

HATA HIVYO KIKOSI HICHO CHA U17 KILIJIKUTA KIKIPOTEZA NAFASI NYINGI ZILIZOTENGENEZA NA "STAR" UJUDI AMBAYE ALIWEZA KUMILIKI NAFASI YA KIUNGO KWA VIZURI.
KIKOSI HICHO KITAVAANA NA TIMU YA SAP-SOAP KESHO SAA 4:00 KATIKA KIWANJA CHA AMANI "B" KWA KUCHEZA MCHEZO WA ROUND. No. 4 MCHEZO AMBAO UTATOA MSHINDI WA KUSONGA MBELE HATUA YA NNE BORA.

VIJANA WA O.F.A U17 KWA USHINDI HUO WA LEO WAMEFIKISHA POINT 7 NA MAGOLI SABA WAKIWA KATIKA NAFASI YA PILI NYUMA YA F.C CARDIF WENYE POINT SABA NA MAGOLI MANANE.

KESHO TIMU HIZO ZOTE ZITACHEZA MECHI ZA ROUND YA MWISHO KWA AJILI YA KUFUZU HATUA YA NNE BORA.
ORANGE FOOTBALL ACADEMY v/s SAP SOAP NA F.C CARDIF v/s NEW ZNZ ACADEMY MECHI HIZI ZITAAMUA NANI ASONGE MBELE.