WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 16 May 2009

KOCHA MKUU WA TIMU YA TAIFA YA ZANZIBAR AKUTANA NA O.F.A

Coach Msoma ikiwafahamisha kitu vijana wa Oranje Football Academy jana ktk viwanja vya mao tse tung, tunatarajia wapenzi wa soka ndani na nje ya nchi watafata mfano mzuri kama wa coach Msoma, vijana wetu wa Oranje Football Academy wanahitajia ushirikiano wako kwa kila hali kutokana na kuwa na vijana wenye vipaji vya hali ya juu katika soka, na ndio ambao wataweza kuiletea sifa taifa letu katika soka kama tutapata ushirikiano mzuri kutoka kwako
O.F.A wakifatilia kwa makini maelezo kutoka kwa coach Msoma
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Kocha wa Taifa ya Zanzibar Coach Msoma akiwafamisha jambo vijana wa O.F.A
-------------------------------------------------------------------------------------------------
vijana wa O.F.A wakisikiliza kwa makini maelezo muhimu na maelekezo kutoka kwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar Abdulghan Msoma alipokutana nao jana katika mazoezi kwenye viwanja vya nje vya mao tse tung
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Kocha mkuu wa Taifa ya zanzibar Abdulghan Msoma akiwaelekea O.F.A baadhi ya mambo wanayotakiwa kuyafata na wanayotakiwa kutoyafanya ili kuwa mchezaji bora moja wapo ikiwemo heshima ndani na nje ya uwanja
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar Abdughani Msoma jana alikutana na vijana wa Oranje football Academy wakati wa mazoezi ya kujiandaa na play-off U17
leo O.F.A wanaingia tena uwanjani kucheza mechi yao ya pili,
katika mechi ya kwanza O.F.A waliweza kuwatungua Simba Kids kwa goli 2-0