WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 16 May 2009

ORANJE FOOTBALL ACADEMY WAKIJIANDAA NA PLAY-OFF

O.F.A wakindelea na mazoezi jana wakijitayarisha katika mechi yao ya leo ya play off ambayo inashirikisha jumla ya timu 9 za U17 ambazo zimeshinda kutoka katika hatua ya mwanzo katika ligi ya U-17
-------------------------------------------------------------------------------------------------
wachezaji wa o.f.a wakiwa mazoezini jana katika viwanja vya mao tse tung
-------------------------------------------------------------------------------------------------
leo o.f.a watajitupa tena uwanjani kuendeleza wimbi lao la ushindi kwa timu za vijana U17
-------------------------------------------------------------------------------------------------
o.f.a wakiendelea na mazoezi jana kujiweka tayari kwa mechi yao ya pili leo
-------------------------------------------------------------------------------------------------

o.f.a wakiwa katika mazoezi viwanja vya mao tse tung jana wakiwa tayari kwa mechi yao ya play-off leo
-------------------------------------------------------------------------------------------------
KATIKA MECHI YA KWANZA YA PLAY-OFF
O.F.A 2-0 Simba Kids
wafungaji walikuwa ni Yussuf Miraji aliefunga goli la 1katika kipindi cha 1 dk 30
na Mohd Hassan alifunga alikamilisha kwa kpachika goli la 2 kipindi cha 2 dk 50