Waziri kiongozi wa Zanzibar na Waziri wa Michezo mh Ali Juma Shamhuna akiwa kama ni mgeni rasmi wa fainali ya Bonanza Cup akiangalia kwa makini jinsi vijana wa oranje football academy wakichuana na Shangani f.c
------------------------------------------------------------------------------------------------