WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 15 May 2009

ORANJE FOOTBALL ACADEMY WAKIWA KATIKA MAZOEZI KUJIANDA NA U-17 PLAY-OFF

-------------------------------------------------------------------------------------------------
Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Abdulghani Msoma anatarajiwa kukutana na vijana wa O.F.A katika mazoezi kuweza kuwapa maelezo muhimu kutokana na mechi yao waliyocheza wiki iliyopita ambapo itaweza kuwasaidi sana vijana wa O.F.A kuweza kujua makosa yao na jinsi gani wataweza kufata maelekezo ya kocha wa Taifa kwa manufaa ya Taifa hapo Baadae,

kesho timu ya Oranje inatarajia kujitupa tena uwanjani katika mchezo wao wa pili wa U-17 play-off
------------------------------------------------------------------------------------------------
-------------------------------------------------------------------------------------------------
-------------------------------------------------------------------------------------------------
-------------------------------------------------------------------------------------------------
-------------------------------------------------------------------------------------------------
-------------------------------------------------------------------------------------------------

-------------------------------------------------------------------------------------------------
Oranje Football Academy wakiwa katika mazoezi jana katika viwanja vya nje vya mao tse tung kuendelea na ligi ya U-17 play-off ambapo tayari mechi yao ya kwanza wameshida 2-0, mechi ambayo ilihudhuriwa pia na kocha wa timu ya Taifa ya Zanzibar Abdughani Msoma,na kujionea jinsi vijana wa O.F.A wanavyoendeleza wimbi lao la ushindi kwa timu inazokutana nazo,pamoja na kuanza kuwatupia macho nyota hao wa O.F.A kwaajli ya timu ya Taifa siku zijazo, wengi wa wachezaji wa O.F.A wanachezea Zanzibar U-13/ U-19,