WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 4 June 2009

MAKIPA WANAO INGÁRISHA O.F.A KATIKA YOUTH U-17

Makipa chipukizi ambao kutokana na uhodari wao wa kulinda goli wanaifanya O.F.A kuendelea kushikilia uongozi wa youth U-17,huu ni msimu wa kwanza kwa O.F.A kushiriki katika ligi ya Youth U-17, lakini kutokana na uhadari wa makipa pamoja na wachezaji vijana chipukizi wenye vipaji vya hali ya juu katika soka wameweza kuzisambaratisha kila timu wanazokutana nazo,na kuifanya kuongoza ligi hio tokea msimu ulipoanza,katika mechi za makundi O.F.A iliongoza ligi bila ya kupoteza mechi yoyote,na katika play-off ambayo inashirikisha timu 9 za vijana O.F.A imeweza kushinda mechi 5 na kupoteza mechi moja, katika mechi ya jumanne iliyopita O.F.A iliweza kuiadhibu F.C Arizona kwa jumla ya mabao 3-0
-------------------------------------------------------------------------------------------------