O.F.A wakijitayarisha kuendeleza wimbi lao la ushindi kwa timu za youth U-17,ambapo jumanne iliyopita waliweza kuwachakaza F.C Arizona kwa mabao 3-0, wakionekana kuwa na uchu wa kupachika mabao O.F.A ambao wanasifika kwa kutandaza kandanda safi waliweza kusawazisha makosa yao ya wiki iliyopita ambapo walipata ushindi kiduchu wa bao 1-0-------------------------------------------------------------------------------------------------