Vijana mahiri wa o.f.a katika moja ya mechi yao ya wiki iliyopita ambapo hivi sasa wapo pia katika fainal ya knock-out, ni vijana ambao wanasakata soka la hali ya juu,ni vijana wadogo ambao wana vipaji vikubwa vya kusakata soka.-------------------------------------------------------------------------------------------------