Mohamed sleiman(pichani) ni mmoja katika makipa chipukizi wenye uwezo wa kiwango cha hali ya juu wa O.F.A ,ni hazina kubwa kwa Taifa hapo baadae,ni mmoja kati ya makipa wenye kuonyesha uimara mkubwa sana akiwa golini.-------------------------------------------------------------------------------------------------