WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 17 June 2009

O.F.A YAPOTEZA NAFASI MUHIMU KWA KUTOKA SARE 2-2

wachezaji wa O.F.A wakipata mazoezi ya viungo kabla ya mechi yao ya mwisho ambapo matokeo yalikuwa 2-2
-------------------------------------------------------------------------------------------------
------------------------------------------------------------------------------------------------- makipa wa O.F.A wakijitayarisha kwa kujiweka fiti katika mechi ya mwisho ambayo tulitakiwa kushinda lakini kutoka na magoli mawili ya kipindi cha mwanzo tuliyofungwa yalitugharimu kupata nafasi ya 3 katika ligi ya youth U-17 play off ambayo ilishirikisha jumla ya timu 9 za youth,

timu yetu ilionesha mchezo mzuri sana kwenye mechi hio mbali ya matokeo hayo kutokua mazuri kwa upande wetu,lakini vijana waliweza kuusoma mchezo na kuweza kupanga mashambulizi ya nguvu mfulilizo na kufanikiwa kuzirejesha goli zote 2 ambazo Iv coast tulitanguliwa kabla ya half time, kutokana na kupanga mashambulizi ya haraka haraka tulifanikiwa kusawazisha half ya pili dakika za mwishoni,ambapo kama kungelikuwa na dakika zaidi tungeliweza kuibuka na ushindi katika mechi hio,
hivi sasa O.F.A wanajitayarisha ma mechi ya Fainal ya knock-out ambapo tayari mikakati ya mazoezi imeanza kuweza kuhakikisha tunashinda,
-------------------------------------------------------------------------------------------------