
baada ya kupoteza kutwaa ubingwa wa ligi ya U-17 na kuambulia nafasi ya 3, O.F.A wanaelekeza macho yao yote kwenye fainal hio ambapo wachezaji wote wanaendelea vizuri na mazoezi na wameahidi kuonyesha mchezo safi pamoja na kushinda mechi hio na kuweza kutwaa ubingwa wa mwaka huu.
-------------------------------------------------------------------------------------------------