Wachezaji njota wa O.F.A wakijitayarisha na mechi ya U-17 iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita na kupoteza mechi hio baada ya kufungwa na F.C Zanaco kwa magoli 2-1,mechi ambayo imewashtua wengi kutokana na matokeo ambayo kwa upande mwingine yalichangiwa na kujiamini sana kwa wachezaji wake na kupelekea kupoteza mechi hio.
-------------------------------------------------------------------------------------------------