Captain wa Oranje Football Academy Nassor Nasir akipokea zawadi jana katika kiwanja cha Mao Tse Tung mara baada ya mchezo wao wa fainal dhidi ya F.C Arizona ambapo O.F.A iliweza kuibuka na ushindi wa mabao 2-1-------------------------------------------------------------------------------------------------
Wa kwanza kutoka kulia ni Ramadhan Madundo kocha wa O.F.A akifuatiwa na Hussein Ali katibu Mkuu wa O.F.A wakifuatilia kwa karibu mchezo wa fainali jana wakiwa jukwaa kuu janakatika kiwanja cha Mao Tse Tung, Viongozi hao wawili wa O.F.A pia ni viongozi wanaosimamia kamati ya maalum inayosimamia mashindano yote ya vijana Zanzibar
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Mchezaji wa Oranje Football Aademy Muhene Majid akifuatiwa na mmoja wa kiongozi wa O.F. A kupokea zawadi zao baada ya kushinda mchezo wao Fainali ya knock-out jana katika kiwanja cha Mao Tse Tung.
Mchezaji wa Oranje Football Aademy Muhene Majid akifuatiwa na mmoja wa kiongozi wa O.F. A kupokea zawadi zao baada ya kushinda mchezo wao Fainali ya knock-out jana katika kiwanja cha Mao Tse Tung.------------------------------------------------------------------------------------------------