WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 21 November 2009

EXPLORE ZANZIBAR YAANDAA PAMBANO SIKU YA UKIMWI DUNIANI


Kampuni ya Explore Zanzibar ikishirikiana na taasisi mbalimbali imendaa pambano la soka SIKU YA UKIMWI DUNIANI.
ORANJE FOOTBALL ACADEMY itajitupa kiwanjani kupambana na ARIZONA F.C katika pambano hilo maalum ambalo limeandaliwa na Explore Zanzibar ikishirikiana na taasisi mbalimbali zinazopiga vita dhidi ya ukimwi Tanzania,
pambano hilo litafanyika siku ya tarehe 1-12-09
ORANJE FOOTBALL ACADEMY itaungana na wale wote wenye kupiga vita maambukizi ya ukimwi pia kuwahamasisha vijana kupima afya zao vilevile kutowanyanyasa wale wote wenye virusi vya ukimwi kwani wao pia ni binadamu kama wengineo.
.......................................................................................................................................................................