WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 1 December 2009

KOMBE LA CHALLENGE

Timu ya taifa ya kilimanjaro stars imeifunga Zanzibar bao 1-0 katika mechi ya michuano ya kombe la challenge iliyofanyika leo katika uwanja wa mumias nchini kenya.
Mrisho Ngasa alifunga bao la ushindi katika kipindicha kwanza dakika ya 18.
Zanzibar na kilimanjaro stars zote zimecheza mechi 2 kila moja,kushinda mchezo mmoja na kushindwa mmoja na kila moja ikiwa na point 3.