
akifatana na katibu mkuu wa Oranje Football Academy ndg Hussein Ali kiungo huyo hata hivyo hali yake iliendelea kuwa nzuri na kuruhusiwa kurejea nyumbani baadae jioni.
Kwaniaba ya viongozi na wachezaji wote wa Oranje Football Academy wanamtakia nyota huyo hali njema na kuwa katika hali yake ya kawaida.
.........................................................................................................................................................................