WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 26 May 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY U/17 NA U/14 ZASHINDA

Oranje Football Academy U/17 leo imeshinda bao 1-0 dhidi ya Zanaco katika mechi iliyotawaliwa ngumu pamoja na rafu nyingi.

zanaco wakitumia rafu nyingi mwanzo wa pambano hilo hadi mwisho walikubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya vijana wa O.F.A bao ambalo liliwekwa kimiani na Iddi Juma.katika pambano hilo hakuna mchezaji yeyote wa O.F.A aliepata majeruhi ingawaje kulikuwa na machovu makubwa vijana kutokana na pambano hilo.

U/17 watajitupa tena kiwanjani siku ya jumapili tarehe 30-05-2010 kwa kupambana na Kipigo F.c
..................................................

Katika pambno jingine U/14 wa Oranje Football Academy wakitandaza soka ya uhakika leo wameweza kuendeleza wimbi la ushindi baada ya kuitwanga African Boys mabao 3-1.

Mabao ya U/14 yalipachikwa na Msabah Sleiman,Sleiman Abdulhamid ali, na Moh'd Omar.

jumapili tarehe 30-05-2010 U/14 watakuwepo tena kiwanjani kuumana na F.c Ngema.
.........................................................................................................................................................................