WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday 22 May 2010

KOCHA ABDULGHAN MSOMA KUZUNGUMZA NA CHIPUKIZI WA O.F.A LEO

Aliekuwa kocha wa timu ya Taifa na kocha maarufu nchini kocha Abdulghan Msoma leo atakuwa na mzungumzo na chipukizi wa Oranje Football Academy wakati wa mazoezi.

Kocha(msoma pichani kulia) ni mmoja kati ya makocha wengi nchini mwenye kipaji kikubwa cha kutambua vipaji na umuhimu wa soka kwa vijana na amekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha soka ya vijana nchini inapanda katika kiwango kikubwa na kutoa wachezaji nyota kwa Taifa hapo baadae pamoja na kucheza soka nje.

Hii itakuwa ni nafasi nyingine kwa vijana wetu wa O.F.A kukutana na mwalimu huyo mtaalamu wa soka nchini ambapo mazungumzo yake yataweza kuwasaidia sana vijana wetu pamoja na kuwajenga kisaikologia.

(pichani juu) kocha Msoma alipokutana na vijana wetu msimu uliopita na kutoa ushauri kwa vijana wetu ambao umeweza kuwasaidia hadi kufikia hatua hii ya sasa.

kesho Oranje Football Academy U/14 na U/17 watakuwa viwanjani katika mapambano ya ligi ambapo vijana wako katika hali njema ya kushinda.
.........................................................................................................................................................................