Oranje Football Academy itajitupa kiwanjani siku ya jumapili katika mashindano ya ligi ya vijana U/17 itakapopambana na Ivory Coast katika kiwanja cha Mchangani Malindi.
Wachezaji wote wa Oranje Football Academy wapo katika hali nzuri na wanaendelea na mazoezi ya mwisho tayari kwa pambano hilo litakalokuwa kali.
Ratiba ya O.F.A ni kama ifatavyo
J'pili 23/05/2010 O.F.A v/s Ivary Coast
J'tano 26/05/2010 O.F.A v/s Zanaco
J'pili 30/05/10 O.F.A v/s Kipigo F.c
J'tano 02/06/10 O.F.A v/s Syria
J'pili 06/06/10 O.F.A v/s Shangani F.c
Mechi zote zitafanyika katika kiwanja cha Mao Tse Tung Asubuhi.
..............................................................................................................................................................................
Executive Board begins with a focus on the new UNICEF Strategic Plan,
2018–2021
-
NEW YORK, United States of America, 7 February 2018 – The UNICEF Executive
Board opened its first regular session yesterday, welcoming its new
President fo...
6 years ago