WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 18 May 2010

NYOTA WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY SEIF ABDALLA AITWA KATIKA KIKOSI CHA COPA COCA COLA U/17

Mshambuliaji Nyota wa timu ya Oranje Football Academy Seif Abdalla ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya vijana Tanzania Serengeti Boys U/17 kinachojitayarisha kwenda South Africa kushiriki katika mashindano Copa Coca Cola yatakayofanyika hivi karibuni na kuzijumuisha timu za vijana za nchi mbali mbali duniani.

akitumia na kuuwakilisha mkoa wa pwani ambapo ndiko kocha wa timu ya Taifa ya Vijana alipomuibua Mshambuliaji huyo alipokwenda huko kwa masomo mwaka jana Seif Abdalla mshambuliaji mwenye uwezo mkubwa wa kumiliki mipira,kufunga pamoja na kutoa nafasi yingi kwa wenzake kupachika mabao ataweza kujiunga kambini pamoja na nyota wengine mbali mbali (kama inavyoonekana hapo chini vilabu vikiwa katika mabano)

Sief Abdalla(Pwani/Oranje Football Academy)
Saleh Malande,Hassan hamis,Hamis Mroki,Richard Elisha,Issa Rashidi,Kayko Emmanuel wote kutoka (TSA)
Saleh Hamis,Isa Swadi(Tabora)
Hamis Moh'd, Feruzi Telu ( Simba)
Wandwi Willium, Ibra Jeba (Azam)
Ali Thabit,Said Mussa (Zanzibar)
Kadar Robert,Jarufu Samuel,Maezengo Zephania,Mohamed Othaman (Mwanza)
Erick Mwala (Moro Utd)
Shaaban Abas(Kigoma)
Gerome Lambele(Morogoro)

KWA NIABA YA WACHEZAJI,VIONGOZI,NA MASHABIKI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY WANAMTAKIA NYOTA WAO SEIF ABDALLA KILA LA KHERI NA MAFANIKIO.
.........................................................................................................................................................................