WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 7 June 2010

BRASIL YAIFUNGA TANZANIA KATIKA MECHI YA MWISHO KABLA YA KOMBE LA DUNIA.LAKINI ULINZI UNAWASIWASI.

Kaka aling'ara katika kipindi cha pili na kufunga bao moja.Robinho na Ramires mabao mawili kila mmoja brasil imeweza kuifunga Tanzania mabao 5-1 katika mechi ya kirafiki iliyofanyika katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam leo.


Pamoja na ushindi huo wa Brasil Tanzania imeweza kuifuta record ya brasil ya kutofungwa bao lolote tokeo tokea tarehe 11 october 2009 pale ilipofungwa bao 1-0 na timu ya bolivia katika mechi iliyofanyika mjini La Pas katika pambano la kuwania nafasi ya kuingia katika fainali za kombe la dunia za mwaka huu 2010 zinazoanza wiki hii nchini Africa ya kusini.


kutokana na bao la Tanzania lililofungwa na Stima limemaliza record hio ya brasil ya kutofungwa jumla ya dakika 596 ilizocheza na kuifanya nchi hio inayoshikilia namba 1 kwa ubora wa soka duniani kuwa na wasiwasi wa ngome yao kutokana na bao hilo pamoja na kuonyesha kutokuwa makini sana ukilinganisha na kiwango cha timu iliyocheza nayo.


brasil ilianza kuonyesha kuelewana mara baada ya kuanza kwa mechi hio ambapo kaká na melo waligongeana pasi za kuonana lakini hata hivyo vijana wa stars walikuwa makini kutibua,


katika dakika ya 10 ya kipindi ha kwanza brasil ilianza kuandika bao la kwanza bao lililofungwa na Robinho alieokea pasi kutoka kwa luis fabiano,


dakika ya 11 Nizar Khalfani na kevin yondan walionana vizuri upande wa kushoto lakini hata hivyo kipa wa brasil Gomes aliudaka mpira huo.


Robinho aliipatia brasil bao la pili katika dakika ya 33 baada ya kupokea pasi ya bastos michel ambapo mpaka kufikia mapumziko mabao yalikuwa ni 2-0.


bao la tatu la brasil lilifungwa na ramires dakika ya 53, ambapo bao la nne la brasil lilifungwa na nyota wake aliyengára katika mechi ya leo Kaká hilo linakuwa ni bao la 27 kwa kaká kuifungia brasil.


Taifa Stars ilipachika bao katika dakika ya 87 bao liliwekwa kimiani naTANZANIA (TAIFA STARS):


1) MWARAMI .M

2)MWASIKA .S

3)NADIR .H

4)NYONI .E(37)

5)YONDANI.K

6)HAMOUD .A(78)

7)MAKASI .K(45)

8)KHALFAN .N

9)NSAJINGWA.S(73)

10)NGASA.M(82)

11)MGOSI.M(59)


SUBS:

TEGETE.J(82)

STIMA.J(78)

BAKARI.N(37)

NAFTAL.D(45)

KADO.S

KANONI.S

MORRIS.A

BOKO.J

.........


BRASIL (SELEÇAO):


1)GOMES

2)MAICON

3)LUCIO(45)

4)JUAN

5)BASTOS

6)SILVA.G

7)MELO.F(45)

8)ELANO(60)

9)KAKÁ

10)ROBINHO

11)FABIANO


SUBS:

THIAGO.S

GILBETO.M(45)

BATISTA.J

KLÉBERSON

ALVES.DANI(60)

LUISÃO (45)

NILMAR(76)

GRAFITE

JESUÉ(45)

DONI

RAMIRES(45)