WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 6 June 2010

U/14 YAAGA MASHINDANO YA LIGI, U/17 YAITWANGA SHANGANI F.C 2-0

Watoto wa Oranje Football Academy U/14 leo wameyaaga mashindano ya ligi ya msimu huu 2010 baada ya kufungwa na Admac Tiger kwa mabao 2-0.

vijana hao wadogo wenye kutandaza soka waliweza vizuri lakini hawakuweza kufanikiw kufunga mabao na hivyo kuwafanya vijana hao kupoteza mechi hio ya leo.

kutoka na matokeo hayo vijana hao wa U/14 sasa watakuwa wakijitayarisha na mechi yao ya nusu fainali ya kombe la knock-out ambapo watapambana na Survivor.

......................................

U/17 wa leo waliweza kuwachapa mahasimu wao wakubwa wa soka Shangani f.c jumla ya mabao 2-0.
Katika mechi hio ya Upinzani mkubwa "Derby" Oranje Football Academy ilijipatia mabao yake kupitia wa Yussuf Abdalla katika mechi safi iliyofanyika katika kiwanja cha mao tse tung.

hio ilikuwa ni mechi ya kukamilisha makundi kwa upande wa O.f.A ilikuwa tayari imejihakikishia kusonga mbele hata kabla ya pambano hilo ambapo kutoka na ushindi huo inawafanya vijana wa U/17 kushinda mechi 16 kati ya 18 ilizocheza huku ikitoka sare 1 na kupoteza moja
..........................................................................................................................................................