WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 12 June 2010

SOUTH AFRICA 1-1 MEXICO


mashabiki wa south africa wakiwa katika uwanja wa soccer city leo
......................................................................................................................................................
wachzaji wa south africa wakishangilia bao la tshabalala
.......................................................................................................................................................
tshabalala kulia na rafa marquez pamoja jiovani dos santos wakshangilia.
....................................................................................................................................................
Mashindano ya kombe la dunia yameanza rasmi leo wakati wenyeji wa mashindano hayo south africa wametoka sare ya bao 1-1 dhidi ya mexico katika pambano la ufunguzi wa mashindano hayo makubwa ya soka duniani.
bao la south africa lilifungwa na Tshabalala katika dakika ya 55.
Rafael marquez aliisawazishia mexico katika dakika ya 79 ambapo hadi mwisho mabao yalikuwa 1-1.
..............................................................................................................................................................