WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday 3 July 2010

GHANA YATOLEWA KWA MIKWAJU YA PENALTI

............................................................................................................................................
........................................................................................................................................
.........................................................................................................................................
.................................................................................................................................................
...........................................................................................................................................
............................................................................................................................................
Ghana imeyaaga mashindano ya soka kombe la dunia kwa heshima kubwa baada ya ktolewa kwa penalti jumla ya mabao 4-2 ambapo kabla matokeo yalikuwa 1-1 hadi dakika 120 za pambano hilo kali dhidi Uruguay.
Ghana ilikuwa ya kwanza kuandika bao katika kipindi cha kwanza Muntari alipachika bao hilo kwa shuti la mbali katika dakika ya 45.
Uruguay ilisawazisha bao hilo kupitia kwa Forlán katika dakika ya 55 baada ya kufunga kwa free kick iliyomshinda kipa wa ghana kingson.
hadi kufikia dakika 90 za pambano hilo mabao yalikuwa 1-1 ambapo dakika 30 za nyongeza pambano hilo lilimalizika kwa bao 1-1.
Ghana walipata nafasi ya kushinda pambano hilo baada mshambuliaji wa Uruguay Suares kuutaka mpira uliokuwa ukijaa wavuni hivyo kuwa penalti sekunde chache kabla ya pambano hilo kualizika katika dakika ya 120.
Asamoah Gyan aliigongesha mwamba penalti hio na kufanya mshindi kupatikana kwa penalti ambapo ghana ilipata penalti 2 kupitia Gyan na Apiah wakati Mensah na Adiyiah walipoteza penalti 2.
Uruguay walipachika penalti hizo kupitia kwa Forán,Victorino,Scotti,Loco Abreu.
Uruguay imeingia nusu fainali kwa jumla ya mabao 5-3.
Nusu fainali itakuwa
Uruguay v/s Holland.
............................................................................................................................