WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 13 July 2010

THE NETHERLANDS YAWASILI MJINI AMSTERDAM

.....................................................................................................................................................................................................................................................................................
.............................................................................................................................................
............................................................................................................................................

..........................................................................................................................................
.........................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
...........................................................................................................................................
...........................................................................................................................................
...........................................................................................................................................
.............................................................................................................................................
.........................................................................................................................................
..............................................................................................................................
...........................................................................................................................
Wachezaji na viongozi wa Holland leo wapokewa kwa sherehe kubwa ya watu karibu millioni moja katika mji wa Asterdam ya kuwapongeza wachezaji hao ambao wameshika nafasi ya pili katika kombe la dunia lililofanyika mjini africa ya kusini.mbali na kucheza vibaya katika pambano hilo kutokana na kufikia hatua hio kwa wachezaji vijana ambao ndio wanaanza kuchipukia na ukilinganisha na nchi ya holland kuwa nchi ndogo yenye wakaazi milioni 16 ukilinganisha na nchi nyingine ni kuwa wamejitahidi vya kutosha kupoteza mechi moja tu ya fainali tokea kuanza kwa hatua ya kuwania nafasi ya kwenda kucheza huko africa ya kusini kwa kushnda mechi zake zote za kundi lake nyumbani na ugenini vilevile kushinda mechi zote katika fainali hizo na kufikia fainali na kupoteza mechi hio dhidi ya nchi ngumu kisoka kuliko zote kwa sasa Spain.
Waziri mkuu ambae anakuwa kama Rais wa nchini Holland Jan Peter Belkenende aliwapongeza vijana wake leo asubuhi walipokuta na malkia wa nchi hio Queen Beatrix katika jumba lake la kifalme lililopo mji wa The Hagge ambapo pia aliwapongeza kwa kuonyesha kuwa walijitahidi vya kutosha hadi kufikia walipofikia ya kubakia timu mbili tu duniani katika fainali hizo.
baadae malkia huyo aliwakabidhi beji maalum "sir" kocha wa nchi hio Bert Van Marwijk kutokana na uwezo wake aliouonyesha akiwa na timu hio huku captain wake Giovan Van Brockhorst alipewa tunzo hio kutokana na kuwaunganisha vizuri wachezaji wenzake kwa muda wote aliokuwa nao ambapo leo ilikuwa ni siku ya mwisho kuaga soka katika timu ya Taifa kwa captain huyo.
baadae wachezaji hao waliokwenda kwa malkia kwa basi walikwenda mji mkuu wa amsterdam kwa Holcopter aina ya Choper huyu ikisindkizwa na helkopter nyingine mbili ndogo ambapo waliweza kulakiwa na maelfu ya wananchi waliokuwepo sehemu mbalimbali walizopita wachezaji hao. "pamoja na kutochukua ubingwa, nahisi kama kama tunasherekea ubingwa"alisema Sneijder. wakati Arjan Robben alizidi kwa kusema"kama kawaida yetu hatukuweza kufanikiwa kuwa kutwaa ubingwa wa soka,lakini Netherlands tunabakia kuwa mabingwa wa kujua kusherekea ushindi,alimalizia -hii ni zaidi ya ushindi wa ubingwa".
............................................................................................................