WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday 17 July 2010

PASTOR AFUKUZWA KAZI BAADA YA KUISHANGILIA HOLLAND JUMAPILI KANISANI AKIWA NA WAUMINI.



Katika hali isiyokuwa ya kawaida,Pastor kutoka katika mji wa HARLEM nchini Holland alifukuzwa kazi na Bishop wa nchi hio baada ya kusema kuwa"amekwenda mbali sana kinyum na kazi za Bwana Mungu".baada ya Pastor huyo kuishabikia nchi hio jumapili iliyopita ambapo walikuwa wakicheza pambano lao la fainali dhidi ya Spain.


pastor huyo ambae ni maarufu katik mji huo wa Harlem na ambae anaongoza sala na misa za kanisa hilo kubwa la mji wa Harlem alikuwa amevalia gauni la rangi ya Orange pamoja na kikosi cha kwaya cha kanisa hilo wote wakiwa wamevalia rangi ya Oranje(sawa na vivazi mbali mbali vya rangi hizo za orange ambazo zilivaliwa na wananchi karibu wote wa holland siku hio ya jumapili kuiunga mkono timu yao katika mechi hio).


huku pastro huyo aliamuru kanisa zima ndani kutundika bendera ndogondogo ningi za orange na za nchi hio(sawa na bendera zilizokuwa zimepamba nchi nzima kila mtaa za wananchi wa holland tokea kuanza kombe hilo la dunia hadi siku hio ya jumapili)pastor huyo pia aliweza kutundika mipira bandia katika miti midogo midogo iliyokuwepo ndani ya kanisa hilo katika kulipamba.


katika aliyosemekana zaidi kwenda mbali kinyume na sheria za kanisa ni kuwa Pastor huyo ambae siku hio alinekana kuwa na uzalendo zaidi wa nchi kuliko kazi ya Bwana Mungu alimpa mmoja kati ya waumini wa kanisa hilo "jabulani" na kumuamrisha ampigie shuti ili alidake katika safu wanayopita waumini "huku pastor huyo akiwa golini kama kipa Stekenburg-new holland's van den sar".


chakushangaza zaidi ni pale alipodaka shuti hio na kunyanyua jabulani hio juu kwa kufara kushangilia na baada kuwaamuru wana kwaya kuimba kama kawaida yao.


makubwa yalikuwa baada ya wanakwaya hao kuimba nyimbo za kanisa kama kawaida yao, waliibua kibao maarufu cha kushangilia ambacho kilikuwa pia kinaimbwa na mashabiki wa soka wa holland waliokuwepo nchini africa ya kusini na wale waliokuwepo nyumbani holland "wimbo unaosema -"VIVA HOLLANDIA".wimbo ambao huimbwa na wanamichezo wote wa holland kuipa sifa nchi yao, na sio kama pastor huyo alivyotakiwa kufanya kanisani hapo baada ya kazi za Bwana Mungu alikuwa anahubiri mambo kichume na maadili ya kanisa.


watu mbalimbali wamekua wakitoa maoni yao kuhusu pastor huyo,wengine wakimsaporti na wengine kumtoa thamani, wenye kumsaporti wanadai mechi zote za holland zilizochezwa mchana nchi hio ilifunga kazi zote na wanachi kwenda kuangalia mpira,hata mabosi waliobakia ofisini walikuwa wanaangalia soka ktk tv na kutojali kazi kwa muda huo,pastor kama binadamu pia alionyesha mapenzi yake kwa taifa lake siku hio


je kwa upande wako unaonaje hili?