WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 21 March 2011

O.F.A U16 YAICHAPA NEW ITALY 3-0


Vijana wa Oranje Football Academy U16 jana wamewachapa New Italy jumla ya mabao 3-0 katika mechi ya ligi ya vijana walio chini ya umri wa miaka 16.

katika mechi hio ya leo ambapo kama kawaida yao Oranje Football academy wakitandaza kandanda safi waliweza kupachika mabao yao kupitia kwa Ali Hilali mabao 2 na Moh'd Jecha bao 1.
hio ni mechi ya pili kwa vijana wa O.F.A tokea ligi ilipoanza ambapo wameweza kushinda mechi zote mbili.
............................................................................................