WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 26 May 2011

CLERENCE SEEDORF AONGEZA MKATABA MILAN

Kiongo wa Ac Milan Clerence Seedorf amongeza mkataba wa mwaka mmoja kuichezea timu hio na kumaliza ndoto za timu ya Botafogo kumchukua kuingo huyo mkongwe mwenye uzoefu mkubwa ambae ni mchezaji pekee katika bara la ulaya kushinda kombe la Champions league akiwa na timu tatu tofauti,baada ya kutwaa kombe hilo akiwa na Ajax amsterdam baadae Real Madrid na Ac Milan nyota huyo mkongwe alitakiwa na timu ya Botafogo ya Brasil ambao walikuwa katika hatua nzuri ya kumtwaa,katika hatua nyingine Ac Milan imemsajili Prince Boateng baada ya kuridhika na maendeleo yake kwa msimu uliopita,Boateng ambae awali alikodishwa na timu yake ya Genoa ya Italia wamekubali mchezaji huyo kujiunga moja kwa moja na Milan baada ya kukamilisha taratibu zote za usajili.