WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 25 May 2011

GARY NAVILLE AACHIA NGAZIMlinzi wa siku nyingi wa timu ya Manchester United ya Uingereza Gary Naville jana alicheza mechi yake ya mwisho ya kuagana na wachezaji wenzake kuacha soka rasmi.

katika mechi maalumu iliyoandaliwa kwa ajili yake Manchester united walicheza na Juventus ambapo Juventus ilishinda mabao 2-1.

katika mechi hio mchezaji wa zamani mwalikwa David Backham iliichezea Manchester United klabu yake ya zamani ambapo alianzia soka pamoja na Naville ambao ni marafiki wakubwa kuliko wote katika soka.

akiwa na Manchester United Gary Navile ilishida makombe na zawadi mbalimbali akiwa kama mchezaji wa kutegemewa katika timu hio