WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 10 May 2011

IBRAHIMOVIC AZIDI KUONYESHA UTOVU WA NIDHAMUKatika hali ya kusherehekea ubingwa wa Ac Milan ilioupata mwishoni mwa wiki iliyopita mshambiliaji wao hatari Zlatan Ibrahimovic alizidi kuonyesha utovu wa Nidhamu baada ya kumpiga daluga la kichwa mshambuliaji mwenzake Antonio Cassano wakati akifanyiwa mahojiano na waandishi wa Habari.


hio sio mara ya kwanza kwa mshambuliaji huyo kuonyesha utovu wa nidhamu kwa kuwachapa wenzake mateke ambapo mara nyingine hufikia hadi kukunjana mashati inategemea na ni mchezaji gani inaemfanyia tukio hilo.


Baadhi ya Vyombo vya habari vimekuwa vikijiuliza kuwa kuna siku labda Ibrahimovic akajsahau na kufanya kitendo chake hicho kwa Kiungo wake Gatusso ambapo wanaamini moto mkubwa ni lazima uwake siku hio.