WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 10 May 2011

MANCHESTER CITY KUCHEZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE

Bao la kujifunga mwenyewe lililofungwa katika dakika ya 30'na Peter Crouch wa Tottenham Hotspur lililota kuwawezesha Manchester City kutimia nia yao ya kucheza Eufa Champions league msimu ujao.
Hio itakuwa ni mara ya kwanza kwa City kucheza katik mashindano hayo makubwa kuliko yote barani ulaya.

Wakati huohuo katika pambano la nusu fainali ├Ża Coppa Italia kati ya Palermo na ac milan.
Palermo ilitinga nusu fainali baada ya kushinda mabao 2-1.
mabao ya palermo yalifungwa na Migliaccio 63'na Boo 73'penalti, bao la Ac Milan lilifungwa na Ibrahimovic dakika ya 90'.