WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 8 May 2011

NIZAR KHALFAN AZIDI KUNGÁRA MLS

Mchezaji kungo wa kimataifa wa Tanzania Nizar Khalfan jana alizidi kuwika katika ligi ya Marekani Mojor League Soccer MLS baada ya timu yake kutoka suluhu 0-0 na timu ya Chicago Fire mechi iliyofanyika katika uwanja wa Toyota Park mjini Bridgeview, Illinois nchini Marekani.


Katika pambano hilo ambalo Chicago Fire walitawala kipindi cha kwanza huku walilikaribia mara kadha lango la wageni wao Vancover Whitecaps huku Whitecaps ikiwatumia kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Nizar Khalfan na winga wao machachari Shea Salinas waliweza kufanya mashambulizi kadhaa langoni mwa Chicago Fire.


Nizar nusura aipatie timu yake bao baada ya kuunganisha mpira wa kona iliyochongwa na Salinas ambapo mpira huo ulipaa juu kidogo pembeni ya posti ya wenyeji wao.


zikiwa zimesalia dakika tatu mpira kumalizika mshambuliaji hatari wa timu Whitecaps Hassli aliambaa na mpira nusu kutoka katika nusu ya uwanja na kutoa pasi sasi kwa Nizar Khalfan ambae baada ya kuutengeneza mpira aliachia kigongo kikali kilichozaniwa kuingia golini lakini shuti hilo lilipaa juu kigogo ya mwamba wa goli wa Chicago Fire ambapo hio ilikuwa ni nafasi ya mwisho katika pambano hilo na matokeo kuwa 0-0.


Mchezaji huyo wa Stars Nizar Khalfan amecheza mechi zote za blue na white za whitecaps msimu huu na kuonyesha kiwango cha juu zaidi kulinanisha na msimu uliopita.


Wakati huohuo katika mfululuzo wa MSL league jana kati ya New York Red Bulls na Galaxy ziliweza kutoka sare ya mabao 1-1,

bao la NY Red Bulls lilipachikwa wavuni na Thier Henrry wakati bao la Galaxy lilifungwa na Landon Donovan baada ya kuunganisha pasi ya David Beckham.