WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 8 May 2011

ORANJE FOOTBALL ACADEMY KIWANJANI LEO

Lile pambano la kiporo kati ya U16 ya Oranje Football Academy dhidi ya Azam Znz lililo lililofutwa wiki iliyopita kutokana na mvua kali zilizokuwa zikinyesha sasa litachezwa leo katika kiwanja cha Nyuki saa 10:00 jioni.

Wakati huohuo Wakubwa zao wa U20 watajitupa kiwanja cha Hanyegwa Mchana siku ya tarehe 12-05-2011 kupambana na New Stars pambano ambalo litafanyika saa 10:00 jioni.