WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 18 May 2011

U20 KUFUNGUA MICHUANO YA KOMBE LA MAZINGIRA,WAZIRI WA MICHEZO KUWA MGENI RASMI

Oranje Football Academy U20 itajitupa katika Uwanja wa Mao Tse Tung siku ya Ijumaa jioni kupambana na Msumbiji F.c katika michuano ya kombe la mtoano la siku ya Mazingira Duniani ambapo mgeni rasmi wa pambano hilo atakuwa ni Waziri wa Michezo wa Zanzibar Mh Abdilai Jihad Hassan.
Katika Michuano hio itafikia kilele chake siku ya Mazingira Duniani siku ambayo huadhimishwa Duniani kote