WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 18 May 2011

F.C PORTO BINGWA EUROPER LEAGUE

F.c Porto ya Portugal imetwaa ubingwa wa Europer League baada ya kuifunga Sporting Braga pia ya Ureno bao 1-0 katika pambano la fainali lililochezwa mjini Dublin-Ireland.

katika pambano hilo ambalo Porto walipewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa hilo ilihesabu bao lake la pekee na la ushindi bao lililofungwa kwa kicha safi na mshambuliaji wao hatari Falcao katika dakika ya 44'.


Mshambuliaji huyo hatari kutoka Colombia alipachika bao hilo likiwa ni la 17 katika michuano hio ya Europer League 2011.