WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 1 June 2011

BLATTER ASHINDA TENA UCHAGUZI FIFA

Rais wa Bodi ya soka Dunia Fifa Sep Blatter emeshinda tena kiti chake cha urais katika kura zilizofanyika mjini Zurich-switzaland.

Rais huyo wa fifa ambaye ameleta mabadiliko mengi ya soka duniani iliwemo kupeleka fainali za Kombe la Dunia barani Asia na Africa pia amechangia kiasi kikubwa katika maendeleo ya soka Duniani pamoja na mpango wake wa kufungua vyuo vingi vya soka kwa vijana katika mabara yote pia kutoa ushirikiano mkubwa kwa viongozi wa soka kwa nchi mbalimbali Duniani.