WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 5 July 2011

U16 YAIFUNGA VILLA REAL 2-1

Katika pambano kali la ligi ya vijana chini ya umri wa miaka 16 chipukizi wa Oranje Football Academy U16 mwishoni mwa wiki iliyopita iliichapa Villa Real mabao 2-1 katika pambano lililochezwa katika viwanja vya Aman nje.
katika pambano hilo U16 ilipachika mabao yao kupita kwa mshambuliaji wake mkali anaechipukia kwa kasi kubwa katika safu ya kupachika mabao Moh'd Omar na bao jingine liliwekwa wavuni na Farid Sleiman.