WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 7 July 2011

YUNUS BENARD MFUNGAJI BORA COPA COCA COLA

MSHAMBULIAJI WA KUTUMAINIWA WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY YUNUS BENARD HIVI KARIBUNI ALIZAWADIWA ZAWADI YA UFUNGAJI BORA WA MASHINDANO YA COPA COCA COLA YALIYOSHIRIKISHA VIJANA CHINI YA MIAKA 17 WA MIKOA YOTE NCHINI BAADA YA KUIFUNGIA TIMU YA MKOA WA MJINI MAGHARIBI JUMLA YA MABAO 8 KATIKA MASHINDANO HAYO AMBAPO IDADI HIO YA MABAO PIA ILIFIKISHWA NA NYOTA MWINGINE AMBAE JINA LAKE NA MKOA WAKE HALIKUPATIKANA HIVYO KUWAFANYA NYOTA HAO WAWILI KUWA WAFUNGAJI BORA KWA VIJANA CHINI UMRI WA MIAKA 17 KWA NCHI NZIMA AMBAPO HAO NDIO WATAKAO TARAJIWA KULIONGOZA TAIFA MIAKA MICHACHE IJAYO KATIKA SAFU YA UFUNGAJI KAMA WATAENDELEZWA VIZURI HASA KUTOKANA NA KUWA MASHINDANO HAYO YA COPA COCA COLA HUWASHIRIKISHA VIJANA NYOTA BORA WA MIKOA YOTE NCHINI HIVYO NI KIGEZO KIKUBWA KUWA ORANJE FOOTBALL ACADEMY IKO KATIKA HATUA KUBWA YA KUIMARISHA NYOTA WAKE KWA LENGO LA TAIFA LETU HAPO BAADAE.