WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 23 December 2011

NYOTA 6 WA O.F.A KWENDA DAR NA TIMU YA U17 YA ZANZIBAR

Nyota 6 wa Orange Football Academy wameitwa katika timu ya Zanzibar ya Wachezaji Mchanganyiko wa timu za Central League wenye umri wa miaka 17 ambapo wanatarajiwa kwenda Dar Es Salaam kupambana na timu B za vilabu vya Vodacom Primier Leuague katika mechi za kirafiki zitakazofanyika katika uwanja wa Uhuru.
Vyota hao wa kutegemewa wa O.F.A ni pamoja na nahodha Muhene Majid,Yunus Bernad,Ali Hilal,Salum Ahmed,Abdalla Sleiman na mchezaji bora wa mwaka 2011 wa O.F.A Mzee Kheri,
Wakiwa Dar Es Salaam timu hio mchanganyiko itajitupa kiwanjani kuanza mechi yao ya kwanza na Simba ambao ni Mabingwa wa Msimu huu wa Uhai Cup 2011,mapambano mengine yatafuatiwa na Yanga Youth Team, Azam Academy na Rangers.
Msafara huo utaongozwa na katibu mkuu wa Central League Taifa Abdalla Thabit"Dula Sunday",Simai Vuai,Odero,Abdi Shagaa na Ramadhan Madundo.