WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 15 January 2012

BOSI WA SWANSEA BAADA YA KILIMANJARO LEO NI ZAMU YA ARSENAL

Brendan Rodgers Bosi wa Swansea City ambae mwaka jana 9th June 2011 alikuwepo nchini Tanzania kuongoza charity maalum kwa kituo cha afya cha Marie Curie Cancer Care http://www.justgiving.com/Brendan-Rodgers , ambapo pia alifatana naChris Camara


Coventry City Aidy Boothroyd na chairman wa Middlesbrough Steve Gibson katika safari hio nchini ya kukusanya fedha hizo.

Mazoezi hayo ya Kuupanda mlima huo wa Bosi huyo wa Swansea leo umeweza kumsaidia nguvu katika timu yake kwa kuichapa Arsenal mabao 3-2 katika pambano kali la ligi ya Primier League,

matokeo mengine ya ligi hio ni:

Sunday January 15, 2012


The Liberty Stadium
Swansea City 3 - 2 Arsenal
Sinclair 16’ (pen.)
Dyer 57’
Graham 70’
Arsenal

van Persie 5’
Walcott 69’

Sports Direct Arena
Newcastle United 1 - 0 Queens Park Rangers
Best 37’
..........................

ORANJE FOOTBALL ACADEMY INATOA MAONI YAKE KWA VIONGOZI WA SOKA NCHINI,VILABU,MAWAKALA KUSHIRIKIANA NA WAANDAAJI WA SAFARI ZA WATALII WANAOKUJA KATIKA MLIMA KILIMANJARO KUPITIA KATIKA BALOZI MBALIMBALI ZA TANZANIA ZILIZOPO NJE,

KUPEANA TAARIFA NA WENZAO WA NYUMBANI ILI KUWEZA KUWASILIANA NA VIONGOZI NA WACHEZAJI MBALIMBALI KUTOKA NJE WANAOKUJA NCHINI,

KWALENGO LA KUWASHIRIKISHA KUOMBA URAFIKI NA VILABU VYAO KWAAJILI YA WACHEZAJI WETU NCHINI,MIALIKO YA TIMU ZA NCHINI AU KUZIALIKA TIMU ZAO KUJA NCHINI PAMOJA NA KUTOA NAFASI ZA MAJARIBIO YA NYOTA WA NCHINI KWENDA KUFANYA MAJARIBIO KATIKA TIMU ZAO ILI KULISAIDIA TAIFA LETU KUTOA WACHEZAJI WENGI KWENDA NJE.